Description
Programu hii itamsaidia mwanaume kutengenza misuli yake ya nyonga, uume, na pia kukuza uwezo wake wa kushiriki tendo la ndoa. Utaweza Kudownloa(pakua) videom picha na nakala za mafunzo. Mazoezi yatatengenezwa kwa mfumo wa video na maandishi. Utaweza kutumia programu hii kupitia simu yako ya mkononi mahali popote wakati wowote
Mada Zililzomo ni kama zifuatazo:
- Mazoezi ya kegel kwa wanaume ni nini?
- Misuli ya Chini ya Nyonga Ni ipi?
- Chanzo cha Misuli ya Chini ya Nyonga Kwa Mwanaume kulegea
- Jinsi ya kufahamu kama misuli yako imelegea
- Hatua kwa hatua jinsi ya kufanya mazoezi ya kegel
- Mazoezi Ya Kujizuia Kufika Kileleni Mapema
- Jinsi Ya Kupima size Ya Uume Wako
- Jinsi Ya Kuongeza ukubwa wa uume kwa kufanya Massage
- Mazoezi zaidi ya (50+) ya Viungo Ya Kuongeza Nguvu Za Kiume
- Vyakula Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume
- Vyakula Vinavyopunguza Nguvu Za Kiume
Reviews
There are no reviews yet.